Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duh!! Vifaa vinashushwa Wasafi FM

1955 Screen Shot 2018 01 25 At 7.26.49 PM 660x348.png

Fri, 26 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Msanii kutokea record label ya WCB Harmonize kupitia insta story yake ya Instagram ametuonyesha baadhi ya vifaa vilivyoshushwa makao makuu mapya ya WCB ambapo kwa mujibu wa CEO wa WCB Diamond Platnumz ameeleza jengo hilo litakuwa na kazi mbalimbali.

Kwa upande wa Harmonize ametuonesha generators zikishushwa Wasafi Headquaters kwa ajili ya Wasafi Tv na Wasafi Radio hii ikiwa ni siku chache zimepita toka Diamond Platnumz atangaze kufungua kituo cha Radio na Tv nchini.



Bonyeza PLAY kutazama mwanzo mwisho.



“Usijifanye jini kujua, wakati una silaha za nguvu za giza”-Ruby

Chanzo: millardayo.com