Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Duh! Queen Darlin adondosha 'Sapraiz"

Queen Darlin Queen Darlin amuonesha mwane wa kwanza

Sat, 5 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

First Lady wa Lebo ya WCB, Msanii queenvdarleen amewaacha mashabiki wa burudani vinywa wazi baada ya kumpost mwanae wa kwanza ambae mara kadhaa amekuwa akimuelezea kuwa ni mtoto ambae hapendi kupostiwa kwenye mitandao ya Kijamii, hivyo leo ndio mara ya kwanza anampost.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Queen Darlin amempost mwanae akimtakia heri Ya siku ya kuzaliwa na kuandika;

"Kaka ROONEY ameniikubalia nimposti"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live