Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake na mkufu wenye pete 42 za uchumba

Champagne Pappi Drake

Wed, 14 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Drake amekuja na mkufu wa Almasi ambao umetengenezwa kwa Pete za Uchumba 42 ambazo aliwahi kutaka kuwavisha Wanawake tofauti tofauti kwenye maisha yake lakini akabadili maamuzi.

Sonara maarufu Alex Moss ameiambia Tovuti ya TMZ kwamba, mkufu huo unaitwa “Previous Engagements” ikiwa ni Kumbukumbu kwa Wanawake hao ambao Drake alitamani kuwaoa lakini akabadili gia angani.

Alex anasema Pete hiyo imetumia miezi 14 kukamilika na ilitengenezwa kwa mkono huko New York, Marekani. Gharama yake bado haijawekwa wazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live