Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake kama Messi, J Cole ni Ronaldo

FB IMG 1700146614511 Drake kama Messi, J Cole ni Ronaldo

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Drake amechia video ya ngoma yake inayofahamika kama''First Person Shooter'' kwenye ngoma hiyo ambayo Drake kamshirikisha J Cole.

kuanzia dakika 1 sekunde ya 39 kinaonekana kipande ambacho madhari iliyotengenezwa inafanana na ile ya picha ya Messi na Cristiano Ronaldo wakati wanafanya tangazo la chapa maarufu nchini Ufaransa. (Jina kapuni)

Picha ya Messi na Ronaldo, iliwekwa mitandaoni mwaka 2022, ikiwaonyesha wakicheza mchezo maarufu unaofahamika kama ''chess'' picha hiyo ilitembea sana mtandaoni kutokana na ubora wa wachezaji hao na namna ambavyo watu wengi wamekuwa wakilinganisha ubora wao.

Hapa kwenye wimbo wa Drake kulingana na picha ile, Drake ndiye aliyekaa upande wa Messi na J Cole akachukua upande wa Ronaldo.

Yote ni kuhusu ubunifu, Cole na Drake wamefanikiwa au waliishiwa ubunifu?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live