Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake atumia Dakika 246 kumsikiliza Tupac mwaka 2022

Drake Tupac 960x720.png Drake atumia Dakika 246 kumsikiliza Tupac mwaka 2022

Sat, 3 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Drake amekuwa miongoni mwa watu ambao wamemsikiliza zaidi Tupac Shakur kwenye Spotify kwa mwaka 2022.

Drake amekuwa miongoni mwa watu ambao wamemsikiliza zaidi Tupac Shakur kwenye Spotify kwa mwaka 2022. Kwenye takwimu zilizotolewa na mtandao huo kuelekea mwisho wa mwaka 2022, Drake ameanika wazi kuwa Tupac Shakur ndiye msanii ambaye amemsikiliza zaidi, akitumia dakika 246 kusikiliza ngoma zake kwenye mtandao wa Spotify.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live