Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake apata hasara ya Bilioni 1.4

Drake Rapper Drake

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Drake amepata hasara ya Dollar laki 565 sawa na tsh bilioni 1.4 mara baada ya kuliwa kwenye kamari aliyocheza usiku wa kuamkia jumapili.

Rapa Drake amepata hasara ya Dollar laki 565 sawa na tsh bilioni 1.4 mara baada ya kuliwa kwenye kamari aliyocheza usiku wa kuamkia jumapili. Kamari hiyo Drake alicheza katika pambano la masumbwi kati ya bondia wa Uingereza Tyson Fury (35) kachapika na kupoteza pambano lake la kwanza katika historia yake ya ngumi dhidi ya bondia wa Ukraine Oleksandr Usyk Usiku wa leo Mei 19,2024 lilifanyika nchini Saudi Arabia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live