Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake ampigia "saluti" Rapa Fabolous

Drake Fabolous Influence 1200x675.png Drake ampigia "saluti" Rapa Fabolous

Tue, 17 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Drake ameamua kumpa maua yake rapa Fabolous mapema kabisa, amesema asingekuwa hapa alipofikia leo pasina mchango wa huyu jamaa.

Kupitia insta story yake, Drizzy ame-share picha za Fabulous pamoja na Jarida fulani kisha kuambatanisha na Caption isemayo

“Nisingefika popote bila huyu jamaa, umenishawishi kwenye kila kitu kwangu.” aliandika Drizzy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live