Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake amkataa Kanye West jumla jumla

22222 Drake amkataa Kanye West jumla jumla

Wed, 20 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Uhusiano kati ya Rapper Drake na Kanye West umeendelea kuwa mbaya zaidi baada ya Champagne Papi kuamuwa kum-unfollow Ye kwenye ukurasa wake wa instagram ikiwa ni miaka mitano ya kumfuata (follow) kwenye mtandao huo.

Uhusiano kati ya Rapper Drake na Kanye West umeendelea kuwa mbaya zaidi baada ya Champagne Papi kuamuwa kum-unfollow Ye kwenye ukurasa wake wa instagram ikiwa ni miaka mitano ya kumfuata (follow) kwenye mtandao huo. Wawili hao wapo kwenye ugomvi  kwa muda mrefu, lakini hali hiyo haikumfanya Drake kutom-follow Kanye Instagram hadi siku ya Jumatatu wiki hii alipoamuwa kumkataa mazima.

Chanzo: eatv.tv