Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake aliwa milioni 935 alizobet kwa Jake Paul

Drake Lose Betting.jpeg Drake aliwa milioni 935 alizobet kwa Jake Paul

Tue, 28 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hali imeendelea kuwa mbaya kwa nyota wa muziki Drake, kupitia mchezo wa kubashiri mara baada ya kupoteza tena kiasi cha $400,000 sawa na shilingi 935,600,000 za kitanzania alizobet kwa Jake Paul kumtwanga Tommy Fury lakini bahati mbaya Jake Paul alipoteza pambano hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live