Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake afikia rekodi ya Michael Jackson

Drake Michael Jackson Comparisons.png Drake afikia rekodi ya Michael Jackson

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye Rapa kutoka nchini Marekani Drake ameifikia rekodi ya Michael Jackson kwenye charts kubwa za muziki duniani #Billboard Hot 100, ni baada mwanamuziki huyo kufikisha ngoma 13 ambazo zimeshika namba moja kwenye charts hizo.

Ambapo hapo awali ilikuwa inashikiliwa na marehemu Michael Jackson, na sasa Drake ameifikia baada Ya wimbo yake ‘First person shooter’ aliomshirikisha #Jcole kushika namba moja kwenye charts hizo wiki hii .

Drake kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza furaha yake baada ya kufikia rekodi hiyo na amedai kuwa alitakiwa awe ameivunja rekodi hiyo kitambo lakini kwa kuwa hakupewa credit kwenye ngoma ya Travis Scott "Sicko mode" basi amechelewesha kuivunja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live