Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake afafanua Faini aliyopigwa, ni milioni 24 kwa dakika

Drake Fined Drake

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Drake alijikuta akipigwa faini ya ($230k) zaidi ya TSh. MILIONI 560 kwa kuzidisha muda wa Kutumbuiza kwa sheria za mji wa Detroit.

Drake alijikuta akipigwa faini ya ($230k) zaidi ya TSh. MILIONI 560 kwa kuzidisha muda wa Kutumbuiza kwa sheria za mji wa Detroit. Akiwa Jukwaani, Drizzy aliwaaambia mashabiki zake kwamba amelipishwa faini ya ($10k) zaidi ya TSh. Milioni 24 kwa kila Dakika ambayo aliitumia Jukwaani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live