Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake: Sitaimba tena wimbo nilifanya na Rihanna

Drake: Sitaimba Tena Wimbo Nilifanya Na Rihanna Drake: Sitaimba tena wimbo nilifanya na Rihanna

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, Drake akiwa katika onesho lake la ‘Its All a Blur- Big as the What’ siku ya Jumamosi nchini humo aliwaeleza mashabiki wake kuwa hatoimba tena wimbo aliofanya na Rihanna ‘Work’ (2017) kwenye show zake.

Drake amedai hawezi kuimba wimbo huo labda mashabiki wamuimbie yeye, licha yakuwa mpaka sasa haijabainika kwa nini Drake amekataa kuimba wimbo huo aliofanya na #Rihanna.

Ikumbukwe wawili hao waliwahi kuhusishwa kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kabla ya Rihanna kuanzisha mahusiano na ‘rapa’ #ASAPRock. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live