Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake, J.Cole watangaza 'Tour' ya pamoja

Drake X J Cole Drake, J.Cole watangaza 'Tour' ya pamoja

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Drake ametangaza ziara ya pamoja na J.Cole ambayo wameipa jina la ‘It’s All A Blur Tour – Big As the What?’ ikiwa ni muendelezo wa ziara yake iliyomalizika mwezi Oktoba mwaka huu.

Ziara hiyo yenye jumla ya maonesho 22, inatarajiwa kuanza Januari 18 na kumalizikia March 27 mwakani ambapo wasanii hao watazunguka miji yote nchi humo.

Ziara hiyo imekuja baada ya wawili hao kufanya ‘kolabo’ ya wimbo wa ‘First Person Shooter’ uliokuwa kwenye albumu ya Drake ya ‘For All The Dogs’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live