Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Drake: Hakuna wakunishinda hapa duniani

Skynews Drake Euphoria Angus Cloud 6236865 Drake: Hakuna wakunishinda hapa duniani

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Drizzy Drake ame-make headlines mitandaoni akitamba kuwa hakuna mtu anayeweza kumshinda hapa duniani.

“Nina kichwa changu juu, mgongo wangu umenyooka, niko imara kwa vidole vyangu vyote vya miguu. Na najua bila kujali nini, hakuna mtu mwingine yeyote duniani anayeweza kunishinda” - amesema Drake kupitia Tour yake ya It’s all a Blur Tour.

Drake amesema hivyo baada ya Kendrick Lamar kum-diss kwenye ngoma mpya ya ‘Like That’ ambayo ameshirikishwa na Future.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live