Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr Kumbuka adai Dulla Makabila na Anjella ni wapenzi

Dr Kumbuka Adai Dulla Makabila Na Anjella Ni Wapenzi Dr Kumbuka adai Dulla Makabila na Anjella ni wapenzi

Tue, 7 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dr Kumbuka Majaliwa anasema kuna penzi jipya mjini kati ya Staa wa Muziki wa Singeli Dulla Makabila na msanii aliyekuwa Lebo ya KondeGang Anjella.

Dr Kumbuka Majaliwa anasema kuna penzi jipya mjini kati ya Staa wa Muziki wa Singeli Dulla Makabila na msanii aliyekuwa Lebo ya KondeGang Anjella. Dr Kumbuka akiwa katika Mahojiano na TVE amesema kuwa wawili hao wanaishi nyumba moja yani Pika Pakua huko Tabata na ndio maana Dulla Makabila amekuwa mweupe sana kwani anahudumiwa vizuri na Anjella.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live