Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr Dre kwenye albamu ya pamoja na Snoop Dogg

Dr Dre And Snoop.jpeg Dr Dre kwenye albamu ya pamoja na Snoop Dogg

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mwanamuziki na producer kutoka nchini 3Marekani Dr Dre kutunukiwa nyota ya heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’, ametangaza ujio wa album ya pamoja na ‘rapa’ #Snoop Dogg na #50Cent.

#Dre ameweka wazi suala hilo kupitia mahojiano yake ya moja kwa moja (live) na Jimmy Kimmel ambapo ameeleza kuwa wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha album yake ya pamoja na Snoop itwayo ‘Missionary’ ambayo inatarajiwa kutoka April mwaka huu.

Hii sio mara ya kwanza kwa wawili hao kutoka album ya pamoja, ikumbukwe kuwa mwaka 1993 walitoa album ya pamoja iliyopewa jina la ‘#Doggystyle’ ambayo ilivuma zaidi miaka hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live