Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr Dre atimiza miaka 59

Dr Dreee (1).jpeg Dr Dre atimiza miaka 59

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Andre Romell Young Maarufu kama @drdre, Rapper na Mtayarishaji wa Muziki kutoka Marekani siku ya jana Februari 18, 2024 ametimiza umri wa miaka 59.

@drdre ni miongoni mwa Rappers wenye utajiri mkubwa Duniani ($500 Million), ni miongoni mwa watu wanaoheshimika sana katika sekta ya muziki Duniani kwani ana mchango mkubwa katika mageuzi ya muziki.

@drdre amehusika kwa asilimia 100 kuvumbua pamoja na kutangaza kipaji cha Eminem na 50 Cent kupitia Label yake ya "Aftermath Entertainment".

@drdre mpaka sasa ana tuzo saba za Grammy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live