Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr Cheni ataja sababu kushindwa kuwa MC wa Wolper

Dr Cheni Dr Cheni ataja sababu kushindwa kuwa MC wa Wolper

Sat, 26 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MC na muigizaji maarufu Bongo Mahsein Awadhi 'Dr Cheni' ameeleza sababu ya kwa nini hakuwa MC wa harusi ya muigizaji mwenzake Jacqueline Wolper iliyofanyika wiki iliyopita.

Dr Cheni ametoa kauli hiyo kufuatia kuwa na uvumi kuwa, alishindwana naye kutokana na kumtajia dau kubwa ambalo lilimshinda muigizaji huyo.

"Hapana, hatujapishana kwenye dau lakini walinitafuta mimi nikiwa na harusi ya watoto wanne wa mmiliki wa mabasi ya Kilimanjaro," alisema Dr Cheni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live