Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr Cheni amjibu Gara B, "Sipangiwi cha kuvaa"

Dr Cheni Dr Cheni amjibu Gara B,

Mon, 28 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshereheshaji maarufu Bongo Mahsein Awadhi 'Dr Cheni' amemjibu MC Gara B ambaye alidai hakupendezwa na mavazi yake kwenye harusi ya staa wa Bongo Fleva, Faustina Charles 'Nandy'.

Dr Cheni alitoa kauli hiyo alipokuwa kwenye sherehe ya harusi ya watoto wanne wa mmiliki wa mabasi ya Kilimanjaro.

"Kila mtu anaamua ale nini avae nini, aishi vipi na hayo ni maisha yangu sababu nimenunua kwa hela yangu siwezi kupangiwa na mtu nivae nini," alisema Dr Cheni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live