Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dr. Cheni: Kuna watu wananiroga

Dr Cheni Sdf Dr. Cheni

Thu, 25 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu wa Bongo Movies na Mshereheshaji maarufu, Dr. Cheni amedai kuwa kwenye tasnia yake ya ushereheshaji wapo baadhi ya watu ambao wanamroga ili kuua kipaji chake.

"Kwenye kazi yangu ya u MC nahisi kuna watu wananiroga, na kuna ma MC wenzangu wawili ambao nawahisi wanataka kuniharibia siku nikijihakikishia nitawaanika hadharani, haiwezekani naenda kwenye sherehe nikishika maiki hailii ila akija mtu mwingine akiishika inalia siyo uchawi huo?

"Kuna siku nimeenda kwenye sherehe na gari yangu ile kufika nikakuta ukumbi ni tofauti, vyombo ni tofauti yaani kwamba nimeshahau ukumbi wangu nimeenda kwenye shughuli ya mtu mwingine," Dr. Cheni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live