Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Donald Trump amshambulia Kanye West, amuita kichaa

Kanye X Donald Trump Kanye West na Donald Trump

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya wengi kuhisi kuwa Rapa kutoka nchini Marekani, Kanye West huenda hayupo sawa kiakili hasa baada ya mahojiano yake ya hivi karibuni, Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekuwa miongoni mwa ambao wanaamini YE ana tatizo.

Baada ya wengi kuhisi kuwa Rapa kutoka nchini Marekani, Kanye West huenda hayupo sawa kiakili hasa baada ya mahojiano yake ya hivi karibuni, Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekuwa miongoni mwa ambao wanaamini YE ana tatizo. Donald Trump amekaririwa akisema kwamba mienendo ya Kanye West ni ya ukichaa na anahitaji msaada wa Kitaalamu zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live