Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo wa miaka 13 alamba dili Loius Vuitton

Lv Dogo wa miaka 13 alamba dili Loius Vuitton

Thu, 11 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana wa miaka 13 aitwaye Milan amepata fursa ya mafunzo kwa vijana chini ya miaka 18 katika kampuni ya Louis Vuitton baada ya kusambaa kwa michoro aliyoichora ya ubunifu kwenye mitandao ya kijamii.

Louis Vuitton ilivutiwa na michoro hiyo ambayo ilipostiwa na mama mzazi wa kijana huyo kupitia mtandao wa X.

Kupitia michoro hiyo #Milan alichora na ku-design mitindo ambayo bado haijawahi kutoka ikiwemo viatu, nguo za kike na kiume.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live