Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo Janja hataki utani kwa mpenzi wake, aapa kumlinda

Dogo Janja Hataki Utani Kwa Mpenzi Wake, Aapa Kumlinda Dogo Janja hataki utani kwa mpenzi wake, aapa kumlinda

Tue, 7 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bwa mdogo kutoka Arusha, Dogo Janja ametamba kuwa anampenda mpenzi wake Quenlinna na atamlinda kwa gharama yoyote.

Hayo amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuposti picha inayomuonesha akimbusu mpenzi wake huyo na kumtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa.

"Umenitoa kua MSELA, na kunifanya MUME! Nakupenda laana mwamba! @quenlinnatotoo ishi sana mchizi wangu! Wewe ni nusu yangu! Makuleti akisogeza PUA sidhani kama atabaki na pumzi! Ntakulinda kwa gharama itakayozidi hela, labda itafika thamani ya roho yaani pumzi ya mwisho.. @quenlinnatotoo HAPPY BIRTHDAY MY QUEEN," aliandika Dogo Janja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live