Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo Janja apata mtoto

Janjarooo A0009 Dogo Janja apata mtoto

Sun, 19 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Dogo Janja au Janjaro @dogojanjatz ni staa mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania na mpenzi wake @quenlinnatotoo wamepata mtoto mnamo Novemba 15, 2023.

Janjaro amethibitisha kupata mtoto wa kiume kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amoposti picha za ujauzito wa mpenzi wake huyo na kuandika maneno haya;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live