Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo Janja amwambia Irene Uwoya “wewe mke wangu wa kwanza na mwisho”

370 Screen Shot 2017 12 19 At 1.44.29 PM 660x400.png TZW

Tue, 19 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Baada ya maneno kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na picha za muigizaji Irene Uwoya pamoja na mtangazaji Tbway na wengi kudhani kuwa huenda picha hizo zikayumbisha ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya, December 18 ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Irene Uwoya, hivyo Dogo Janja akaamua kuandika ujumbe kwa mke wake kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Dogo Janja aliamua kutupilia mbali yale yaliosemwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na picha hizo na kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mkewew Irene Uwoya kwa kuandika

“Umebadilisha maisha yangu kutoka nanii kua nanii!! Unanifanya nacheka mda wote hata nikiwa usingizini!! Ww ni mke wangu wakwanza na nimke wangu wamwisho!!tuipeleke dunia kwenye mwangaza waajabu tuwamulike wasioamini wakaamini kua sisi ni wazazi mwakani, wengi wameoana ila sisi tumefunga ndoa!! Happy birthday mke wangu

Chanzo: millardayo.com