Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo Janja: Ndoa yangu na Uwoya ilivunjwa na wazazi

Uwoya Pic Data Dogo Janja na Irene Uwoya

Thu, 28 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamziki Wa Bongo HipHop Bongo, Dogo Janja ameweka wazi kuwa kuachana kwake na Irene Uwoya kulisababishwa na ugomvi mkubwa uliokuwa ukiendelea baina ya wazazi wao.

Janja amesema sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo sio kama watu walivyokuwa wakisema kuwa ilijunjika kwa sababu Irene Uwoya alikuwa akichepuka sana kwenye ndoa yao.

Ikumbukwe kuwa, ndoa ya mastaa hao ilifungwa bila wazazi wao kujua na wote waliona picha tu kwenye mitandao kama kama watu wa kawaida lakini haikuweza kuduma kwani ilivunjika mwaka mmoja tu baadaye.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live