Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo Janja: Kizazi cha Ma-Young kimebarikiwa

ASLAY JANJA Dogo Janja: Kizazi cha Ma-Young kimebarikiwa

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Abdulazizi Abubakari Chende maarufu kama Janjaro ama Dogo Janja amefunguka kuwa Mungu amekibaliki kizazi chao cha Ma-Young.

Dogo Janja amefunguka akisema; “Watu wana pesa, wakina Young Dee wanakimbizana, Young Killer anaenda Ulaya huko na Aslay yule pale ndio taita kabisa, mtu mzito”.

“Kwa sisi Ma-Young Mwenyezi Mungu ameweza kutubariki, kwa hii generation yetu ambayo mimi nimekuwa nayo ni Alhamdulillah.”

Dogo Janja amemanisha kwamba waliotoka kimuziki katika kipindi kimoja yupo Young Dee, Young Killer na Aslay.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live