Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dogo Janja: Hatuachani Ng'o

Janjaro Na Demu Wake Dogo Janja: Hatuachani Ng'o

Mon, 27 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

RAPA mkali Bongo, Dogo Janja @dogojanjatz anaweka wazi kuwa, wale wote wanaongoja yeye na mpenzi wake, Linna Honnah @quenlinnatotoo waachane, basi watasubiri sanakwa jambo hilo.

“Vipi kunanoga au ndiyo akiona una-type anazima data? Kwetu sisi ni full shangwe kuachana ndiyo hatuwezi,” ameandika Dogo Janja au Janjaro.

Dogo Janja, baada ya kuachana na aliyekuwa mkewe, Irene Uwoya aliamua kutua kwa mtoto huyo mzuri na kuamua kukaa kwa kutulia tuli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live