Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dkt Abbas akutana na BASATA wazungumza uboreshwaji wa sanaa ikiwemo Tuzo za wasanii

Ddfff 660x400 Dkt Abbas akutana na BASATA wazungumza uboreshwaji wa sanaa ikiwemo Tuzo za wasanii

Tue, 11 May 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Mnamo 10/5/2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi alikutana na uongozi wa BASATA katika kujadiliana namna bora ya utekelezaji wa majukumu ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) likiwemo jukumu la msingi la kufufua na kukuza Sanaa nchini, kuandaa matamasha mbalimbali kwa Wasanii, Uboreshwaji wa kanuni za Baraza pamoja na utoaji wa Tuzo kwa Wasanii.

.



.



.
Chanzo: millardayo.com