Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dj Khaled aomba kubebwa asichafue viatu (+Video)

Attachment DJ Khaled Carried Secuirty Dj Khaled aomba kubebwa asichafue viatu

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa' kutoka nchini Marekani , Dj Khaled aomba watu wambebe ili asikanyage chini kutokana na kuogopa kuchafua viatu vyake aina ya Jordan

Khaled aliomba watu hao wambebe wakati akielekea jukwani kutumbuiza na kisha wamrudishe kwenye gari baada ya kumaliza kupiga show.

Ni msanii gani Bongo anaweza kufanya hivi?

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live