Baada ya Faiza kumsema vibaya mtangazaji Diva, mrembo huyo naye ameibuka na kujibu mashambulizi.
Baada ya Faiza kumsema vibaya mtangazaji Diva, mrembo huyo naye ameibuka na kujibu mashambulizi. "Hi guys Mi sipendi siku hizi drama wala majibizano na mtu yoyote, beef sizitaki na hasa kwa wanaoishi mjini kwa style hio na mi sio mdangaji , sijui kuvaa sawa , nywele mbaya sawa nashukuru sihitaji msaada wa mtu na sipendagi ku trend msiwe mnanitrendisha. hizo trend wapen wasanii kuna list ya wasanii wana nyimbo Mpya Pls wapostini wa trend au wanaopenda kiki stak kiki, nina nyota ndio ikno ili mtu aende mjini lazima anizungumzie , yan ili mtu azungumziwe apate comments views youtube au ktk Page yake lazima anichambe au anipost aingie ktk trend stak cheap Publicity .. too big for that mayne ... hizo nguvu kwann msijizungumzie nyinyi wenyewe na mambo yenu au ndio trend ni Diva eeh ? i set a trend ikno but not interested na kiki za insta sijui kikii za mjini so na generalize mnaopenda kiki na mimi sitawapa kiki ila hili jibu tosha litawakaa .. God Knows aint swinging that way mi sio ganda ka ndizi kupewa misaada sihitaj sio maisha yangu i work can buy me my own thing .. kwann msijizungumzie wenyewe mi mbona metulia zangu na mambo ya mjini si yangu wanawake waropokaj waswahil sio level zangu Im sorry das my grown ish .. siyahitaji .. nna vitu za kufanya za maana ktk maisha stak umjini wenu. Mi mtu Mzima Hizo mambo si zangu anymore ... Im too grown ... Mbarikiwe"