Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva na Heri Muziki vipi tena?

1957 Screen Shot 2018 01 25 At 9.02.30 PM 660x400.png

Fri, 26 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Ikiwa zimepita siku chache toka muimbaji wa Bongo Fleva Heri Muziki kuachia ngoma yake aliyowashirikisha Mwana FA na Mr Paul “Waambie” imeonekana kama mtangazaji Diva thee bawse ambaye ni mpenzi wake kuamua kutoa kipande cha Heri Muziki katika wimbo huo na kuweka sauti yake.



Kutokana na hiki alichokifanya Diva thee Bawse lakini wimbo huo kimetafsirika kama bifu kati yake na Heri Muziki baada ya penzi lao kuripotiwa kuyumba siku chache zilizopita, hiyo ni baada ya kufanya interview na Ayo Tv na wote kukiri hivyo, Diva katika wimbo wa ‘Waambie’ inadaiwa katoa mchango mkubwa, hivyo kukata kipande cha Heri Muziki kunaonesha wazi kuwa ana haki na wimbo huo.



Hizi ni Cover za wimbo huo ambapo cover moja ina picha ya Heri Muziki na nyingine Diva.

Diva na Heri Muziki wamekuwa wakigombana mara kadhaa katika mapenzi yao lakini hivi karibuni baada ya Diva kuoneshwa kukasirishwa na kitendo cha Heri Muziki kutotaka kukiri radioni kama Diva ni mpenzi wake, kinadaiwa kuyumbisha penzi hilo na inawezekana wasirudiane.

Unaweza kuusikiliza wimbo wenyewe hapa



VIDEO: “Msiba huu ni mkubwa kwangu na ni pigo”- Diamond Platnumz



 

Chanzo: millardayo.com