Mtangazaji Loveness Malinzi ‘Diva The Bawse’ kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza uamuzi wa kurudi katika dini yake ya Ukristo baada ya kudaiwa kuachana na aliyekuwa mume wake, Sheikh Abdulrazack Salum.
Diva ameandika; “Going back to where I belong!. Nimeamua kurudi ktk Imani Ya Dini Yangu Ya Kikristo!. Nimezaliwa Mkristo na nimekulia katika Maisha na Mazingira Ya Kikristo … No hard feelings!.
I am Roman Catholic! Jesus Is the One Kuanzia Jumapili hii ntaenda Kanisani St. Peters na kuendelea na maisha yangu ya kuamini katika Mungu na Yesu Kristo kama Tumaini langu. All in all I am Blessed and highly favored by The Lord Mungu yu Mwema Diva Gissele Malinzi”