Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva akomalia mahari ya Milioni 500

4851 26335897 425087954578322 516944166417072128 N 1 TZW

Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mtangazaji Diva ameendela kusisitiza kuwa ataolewa kwa mahari ni milioni 500 na mwanaume anayejua lugha ya kingereza.



Diva ambaye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii wa muziki Heri Muziki ametoa kauli hiyo kwa kusisitiza kuhusu mahari yake na mwanaume anayemtaka mwaka huu. Kupitia mtandao wa Instagram Diva ametoa ameandika;

Kunioa Ni Milioni 500 …. set that Joke aside
Chanzo: bongo5.com