Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva adai yupo singo, ndo imevunjika?

Diva: Ndoa Tamu, Raha Zilezile Diva adai yupo singo, ndo imevunjika?

Fri, 13 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa kipindi cha #Lavidavi @divatheebawse ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo single yani hayupo kwenye mahusiano na mtu yoyote yule.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa ni rasmi yeye ni "Single Lady''

Hii inaonesha kuwa #Diva na aliyekuwa mumewe @sheikh_abdulrazak_salum hawapo pamoja kwa sasa (ndoa yao imevunjika).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live