Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva adai mume wake analoga mwanamke mwenye hela

Diva: Ndoa Tamu, Raha Zilezile Diva adai mume wake analoga mwanamke mwenye hela

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Diva ameandika kuwa; Amefanya siri aliapa mpaka na msahafu kudanganya hajamuoa akasema Diva mke wangu huyu ni Mwanamke wa dada yangu wanamhausiano nina Picha zao na videos zote yake na Pia alikuwa anamroga sana huyu mama ampe hela, akawa ananipa hela nikamwambia hizi hela unamroga huyo Mama Unipe sizitaki!

Anaficha ficha sababu huyo mama yuko sawa kabisa na Mama Yake! Huyo Mama ana hela kwa hio Abdul yuko Hapo Kimaslahi! Amenipa hela sana sana, yani Hii ni sababu sio yeye tu watu wake almost wote wanapenda mtelezo!

Amefata hela umri wake na Abdul ni vitu viwili tofauti, aliniambia anategemewa na familia nzima hivyo lazima afanye lolote ili aishi!. Mimi sio Mke wake na sababu nzima si mambo ya kuoa ni mateso manyanyaso vipigo!.

Nasubiria aongee ili nitoe kila kitu cha familia i recorded everything bila wao kujua au yeye kujua nina message nyingi na kila kitu anakana kusema kaoa sababu mtu huyo Mama ni Mzima sana umri wa Mama Yake!.

but mostly uongo na kutembea na wateja wake nilipata hizi story alipoenda Msibani Moshi and i Played his game makusudi lakini Ilikuwa inaniuma nilipoambiwa Mumeo Ni Male h*e.

Dada alikuwa anajificha ktk gari moshi anafichwa anakaa mbez beach bila kujua namuonea huruma sana sababu kiufup he is using her to live!. Yani mama kabisa mtu mzima na nimemwambia kabisa acha kuroga wamama upate hela anasingizia dadake dadako mnawekeana miguu?

Watu walikuwa wanawarekod had video, unalala na mtu kila siku kitandani kumbe ni msaliti kwa level kubwa sana ni mtu ambae Muongo sana sana sana yan nna vitu nilikuwa navyo hakuwa anajua najua as a woman i feel not only betrayed but juzijuz alimtongoza aunt yangu pia ana hela hajui kama ni aunt yangu alikuwa anamtumia voice note ambazo ninazo sikuamin Abdul huyu anaeapa nyumban anaweza kuwa Mfuska kiasi hiki.

Hayo ya Arusha ndio yan naendelea nasubiri afanye interview ili aongee kuna vitu nimeeke reserve!. Ati Nakupenda sana Mke wangu Kupita kiasi i wil do anything uishi kwa raha, did I asked ? did I? I did almost everything ila wewe ni user sana wa watu!.

Anaendaga nae hadi supermarket all that aishi mjini ni Mama Mtu Mzima kwelikweli juzi kaenda nae suparmarket masaki ni aibu sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live