Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva: Vishungi sivai

Diva 2 Diva The Bawse

Mon, 23 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Diva The Bawse; ni mtangazaji wa Wasafi ambaye amefichua kuwa kwenye ndoa kumemfanya afanye marekebisho madogo kwenye mtindo wake wa maisha, lakini hawezi kuvaa ushungi.

Diva ambaye ameolewa na Sheikh Abdul anasema; “Nguo nimebadilisha. Sivai sana nguo fupi. Lakini kichwa sivai maushungi, mtanisamehe mimi ni Diva. Hizo vishungi sivai. Hata Abdul anajua, labda kama tunaenda msikitini Ijumaa ndiyo nitavaa.

Kuna zile sehemu ambazo nikienda nitavaa, lakini nikienda ofisini mimi ni Diva yuleyule…”

Diva anaweka wazi kuwa, mumewe huyo kwa kawaida huwa haingilii kazi yake kwa namna yoyote ile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live