Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva: Nina mawigi mengi kuliko sufuria za kupikia

Diva The Bawse Wigs Diva

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuwa na story nyingi kuhusiana na mtangazaji maarufu nchini Diva kutobadilisha ‘wigi’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka sawa jambo hilo, wakati akifanyiwa interview na moja ya chombo cha habari na kueleza kuwa ‘ana mawigi’ zaidi ya mia moja.

Diva amesemaa,

“Ni kwamba ninapenda nywele zenye rangi moja, nina mawigi zaidi ya mia moja na ukiangalia yanafanana hivyo hvyo, mtu akiliona anaona wigi hilo hilo limekakamaa, kati ya vitu nina-spend a lot of money ni wigs mimi nanunua wigs hata la milioni tano, napenda ma-wigs ninayo mengi kuliko sufuria za kupikia”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live