Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva: Niacheni na mume wangu

Wasafitv Diva Diva: Niacheni na mume wangu

Wed, 2 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Wasafi FM, Diva na mumuwe, Abdulrazak wameendelea kuwa topiki ambapo mwanadada huyo ameshindwa kuvumilia na kuvunja ukimya akitaka aachwe na mumewe.

Diva amesema; “Mkimaliza Kuniongelea kwenye hizo interview zenu looking for cheap publicity endeleeni na mambo yenu na mniache na mume wangu! Case closed…”

Kauli ya Diva inakuwa baada ya Mtangazaji wa Clouds FM na mwanamitandao almaarufu DC wa Insta, Mwijaku kudai kuwa ana shaka na uwepo wa ndoa hiyo.

Februari 14 (Valentine’s Day), mwaka huu, Diva alidai kufunga ndoa na jamaa huyo kwa mahari ya maua mengi, badala ya shilingi milioni 500 alizotangaza awali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live