Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva: Nasali sana nipate mtoto

Diva 2 Diva: Nasali sana nipate mtoto

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Diva; ni mtangazaji kutoka Wasafi ambaye amejibu swali la mfuasi wake akiweka wazi wazi matamanio yake ya kupata mtoto.

Diva anasema kuwa, amekuwa akisali mno na kufanya ibada kwa ajili ya kuhakikisha anapata mtoto wake kwa kuwa amekuwa akitamani sana mtoto. Diva anasema; “

Naswali sanasana, natamani sana mtoto…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live