Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diva: Nachukia kuitwa mdangaji

Lulu Diva Mm Lulu Diva.

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Lulu Diva amewajibu baadhi ya watu wanaohisi anaendesha maisha yake mjini kwa kutegemea wanaume.

Akizungumza nasi nyumbani kwa Haji Manara siku ya Iftar iliyofanyika jumapili iliyopita Luludiva amesema watu wengi hawapendi kuheshimu mapambano ya watu ila wanachojua ni kudharau watu na kukatishana tamaa.

“Kama unahisi kudanga ni rahisi na wewe danga uwone kama utafanikiwa kama mimi ila tu ukimaliza kunisema vibaya tenga hata muda kidogo wa kuheshimu mapambano yangu,“ alisema Lulu Diva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live