Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ditto ampa 5 Majani

Majani Na Ditto.jpeg Ditto ampa 5 Majani

Fri, 14 May 2021 Chanzo: eatv.tv

Msanii wa Bongo Fleva Lameck Ditto (Ditto) amshukuru mtayarishaji wa muziki P-Funk Majani kwa kumpa nafasi ya kurekodi Bongo Records enzi hizi wakati anaanza safari yake ya muziki kwani ilikuwa ndoto yake.

Submitted by Telesphory on Alhamisi , 13th Mei , 2021 Pichani kushoto ni Majani na Ditto kulia

Member huyo wa Watu Pori zamani, ame comment kwenye moja ya post za Majani kuelezea hisia zake juu ya mchango  mkubwa wa God Father huyo wa Bongo Fleva kumfanya afanikishe jambo lake.

Chanzo: eatv.tv