Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diss kwa Drake yaendelea kumbeba Kendrick Lamar

Kendrick Lamar 4 Awards Kendrick Lamar

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar ameendelea kuupiga mwingi kupitia ngoma yake ya ‘Euphoria’ aliyoiimba kwa ajili ya kumjibu Drake, ambapo inatajwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za ‘Apple Music’ nchini humo.

Rekodi hiyo inamfanya msanii huyo kuwa mwanamuziki pekee kwa mwaka huu kukaaa namba moja mwezi mzima katika chati hizo.

‘Euphoria’ wimbo ambao ni mahususi kwa ajili ya #Drake uliingia nafasi ya kwanza kupitia mtandao wa Youtube ukiwa na saa chache tangua uachiwe, hata hivyo imeelezwa kuwa kwasasa #Lamar ndiyo ‘rapa’ anaye-trend kutokana na blog mbalimbali kuandika stori zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live