Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Director Nolan aingiza Tsh bilioni 180 kwa filamu moja

Christopher Nolan Director Nolan.

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muongozaji wa Filamu kutoka Hollywood (Director) Christopher Nolan, anakadiriwa kupata kiasi cha $72M zaidi ya Tsh Bilion180 kwa kuiongoza filamu ya 'OPPENHEIMER'.

Kwa mujibu wa jarida la Forbes inataja kiasi hicho kuwa ni mojawapo ya pesa nyingi zaidi kuwahi kulipwa kama muongozaji wa filamu.

Nolan amesimama kama muongoazaji katika filamu mbalimbali bora ikiwemo "Dunkirk 2017, Oppenheimer2023, DarkNight 2008, Momento 2000, Inception 2010 "na filamu nyingine nyingi.

Je, Filamu gani kutoka kwake umeshaitizama na umeikubali zaidi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live