Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Director Khalmandro alazwa Muhimbili, aombewa michango

Khalmandro Director wa video za muziki nchini, khalfani_khalmandro

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Director wa video za muziki nchini, khalfani_khalmandro anaumwa na amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili (MOI) Emergency, Damu imevilia kwenye ubongo na amepata strock mkono wa kulia na mguu wa kulia na hawezi kuonge wala kula.

Director wa video za muziki nchini, khalfani_khalmandro anaumwa na amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili (MOI) Emergency, Damu imevilia kwenye ubongo na amepata strock mkono wa kulia na mguu wa kulia na hawezi kuonge wala kula. Hivyo inahitajika michango kwaajili ya matibabu Kama una chochote unaweza kuchangia Kupitia (0687303673) jina litakuja Mohamed Hamdouny Rashid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live