Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dimpoz, Diamond fresh, picha hizi hapa

Dompoz X Diamond Dimpoz, Diamond fresh, picha hizi hapa

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Ommy Dimpoz amechapisha picha akiwa na Msanii Diamond Platinumz kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi ya kuwa na utofauti baina yao.

Wasanii hao walikutana jana katika Show ya Mtayalishaji wa muziki S2kizzy iliyofanyika katika ukumbi wa Burudani Kidimbwi Jijini Dar es Salaam na kufurahi kwa pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live