Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diddy tena kwenye tuhuma za ubakaji

P Diddy Ajiuzulu Uenyekiti Wa Revolt TV Diddy tena kwenye tuhuma za ubakaji

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #PDiddy na wenzake wawili wamefunguliwa mashitaka mapya jana siku ya Jumatano, kwa madai ya kumbaka binti wa miaka 17.

Jarida la Rolling Stones linaeleza kuwa ‘rapa’ huyo na wenzake wawili waliwahi kumbaka binti huyo mwaka 2003 aliyefahamika kwa jina la Manhattan.

Hii inakuwa kesi ya nne 4 ya unyanyasaji wa kingono kwa msanii huyu kushtakiwa mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live