Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond uso kwa uso na Mobetto, Ommy Dimpoz Dubai

Diamond Platinumz In Bed With Hamisa Mobetto Photos Diamond uso kwa uso na Mobetto, Ommy Dimpoz Dubai

Mon, 12 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnnumz, Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto wamekutana Dubai wakila bata clu ya usiku siku ya jana, wasanii hao wakiwa kwenye mapumziko yao Dubai wamekutana na kukaa meza moja na kubadilishana mawazo.

Kupitia picha zilizopostiwa na mmoja ya team yao mfanyabiashara Kalito inawaonyesha mastaa hao wakiwa pamoja na kupiga nao picha ya pamoja huku meneja wa Diamond Sallam Sk akiwa miongoni mwao.

Diamond na Ommy Dimpoz walikuwa kwenye tofauti kwa muda mrefu na hivi majuzi walimaliza tofauti zao lakinni kwa upande wa Hamisa ni mwanamke ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Diamond na baada ya kuachana hawakuwahi kuwa karibu tena.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live