Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond uso kwa uso na Busta Rhymes, Swizz Beatz & Hitmaka

MPYAA33 660x400 Diamond uso kwa uso na Busta Rhymes, Swizz Beatz & Hitmaka

Wed, 30 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Rapper mkongwe kutokea nchini Marekani Busta Rhymes ameshare Video akiwa na Diamond Platnumz wakiwa Studio na Kumwagia Sifa kibao ikiwemo kumuita ‘Michael Jackson of Africa ‘  yaani Michael Jackson wa Afrika .

Katika Video hiyo ambayo wanaonekana kama wanasuka Mdundo wa Pamoja, wameonekana Mastaa wengine akiwemo Swizzbeatz, Hitmaka na Otgenasis .

TAZAMA HAPA UJIONE DIAMOND ALIVYOKUTANA NA BUSTA RHYMES  STUDIO NA KUMMWAGIA SIFA

Chanzo: millardayo.com