Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond simuombi hela, ananipa haki yangu-Mwijaku

Mwijaku Na Mondiiiii Diamond simuombi hela, ananipa haki yangu-Mwijaku

Tue, 11 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji na chawa maarufu Bongo, Mwijaku amesema kamwe hamuombi hela Diamond bali huwa analipwa mshahara.

Mwijaku aliyasema hayo baada ya kuulizwa na Bongo Five kuhusu madai ya Baba Levo kwamba anamuomba hela Diamond ndipo akafafanua.

“Mimi simuombi hela Diamond. Diamond ananilipa mshahara wangu na ninamshukuru Mungu, ananilipa vizuri kila inapofika mwisho wa mwezi mimi ni balozi wa Wasafi BET,” alisema Mwijaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live